Preview Mode Links will not work in preview mode

Swahili Talk Radio Podcast

Nov 16, 2018

Utalii wandani ya nchi umekuwa siku zote ukipewa kipaombele na wageni kwanini ?

Je kwasababu nchi zetu utalii haziufahamishi vizuri ndani ya nchi?

mimi nimmoja wapo ambae nimesoma secondary ya Hegongo karibu na Magoroto forest na hamna hata siku moja kwenye kumbukumbu yangu shule kama shule imafanya ziara ya kutembelea...


Oct 26, 2018

Wema Sepeto kawa ongezi kubwa mtandaoni kuliko mambo mengi muhimu kwa kipindi cha muda wa wiki nzima. 

Wapendwa watanzani kweli hili jambo nilakuongea wiki nzima?

Au nikukosa kujua kitugani ni muhimu kwetu?

au ni uelevu mdogo wa jamii yetu?

Kwanini tusiongelee maendeleo ya nchi yetu..???

bonyeza link hapo juu kutusikia...


Oct 22, 2018

Nini muhimu kwako kama mfanyakazi . je utaratibu gani wa kazi na Ajira kwa ujumla katika mkataba wako wa Kazi?

Je system gani inamlinda mfanyakazi katika nchi yako?

Sikiliza kipindi chetu kipya tukiongelea Kuhusu Ajila / Kazi /na system nzima ya nchi uliopo.

Ukichasikiliza drop comment kuhusu maoni yako

Swahili Talk...


Oct 4, 2018

Swahili Talk Radio leo imechambua shuhuda ya mwanamitindo mwanadada Hamisa Mobetto Kuhusu uchawi / Dua alizo mfanyia baba wa mtoto wake Nyota ya mziki Tanzania  Diamond Platnumz

Tukutane wiki ijayo katika uchambuzi mpya wa mambo tofauti, Je wiki ijayo ungependa tuongelee nini ? weka comment yako.

Podcast by Rehema...


Sep 27, 2018

Kutana na mtangazaji wa Sahilitalk Podcast, Rehema nkalami akikuchamulia interview ya hamisa Mobeto...... Hamisa asema kasha zaa na Diamond ham hitaji tena.