Preview Mode Links will not work in preview mode

Swahili Talk Radio Podcast

Feb 4, 2019

Podcast ya leo tunaongelea kuhusu watoto wetu na pesa za zatumizi.

tunaongelea mpango wa kutengeneza kazi za wanafunzi iwe jukumu la nchi. 

Na pia tunaongelea mfumo mzima wa majukumu yaanzie nyumani kwa wazazi.