Preview Mode Links will not work in preview mode

Swahili Talk Radio Podcast

Oct 11, 2020

Mzungu Kicha akiwa katika mahojiano na Swahili Talk Radio.

Akijifungua kuhusu, Mziki wa Bongo, Ubaguzi baina ya wzungu,

na maisha yake kwa ujumla kama MBongo mhamiaji.


Oct 3, 2020

Kila malezi yanakuwa magumu au marahisi kulingana na mazingira, mila na destuli ya mahali ulipo.

Kwenye podcast ya leo tunajaribu kugusia hili.. 


Sep 16, 2020

Kipindi hiki kinaongelea jinsi gani inakua ngumu kwa wageni wanao hamia kwenye nchi za kigeni ku-adopt mila na desturi za nchi hiyo, nanini kinakua kigumu.


Jul 27, 2020

Tarere 25.07-2020 alizaliwa mtoto wa kitanzania na kuweza kuwaunganisha wanzania wengi wa Jylland/Denmark


Apr 13, 2020

- Utaratibu wa kufungua mashule baada ya karantin.

- Pasaka iliendaje ndani ya karantin.

- Hadhali za kisaikolojia kwa ajili ya Corona -V

- New members of ┬┤Swahili Talk radio.