Oct 11, 2020
Mzungu Kicha akiwa katika mahojiano na Swahili Talk Radio.
Akijifungua kuhusu, Mziki wa Bongo, Ubaguzi baina ya wzungu,
na maisha yake kwa ujumla kama MBongo mhamiaji.
Oct 3, 2020
Kila malezi yanakuwa magumu au marahisi kulingana na mazingira, mila na destuli ya mahali ulipo.
Kwenye podcast ya leo tunajaribu kugusia hili..