Oct 22, 2018
Nini muhimu kwako kama mfanyakazi . je utaratibu gani wa kazi na Ajira kwa ujumla katika mkataba wako wa Kazi?
Je system gani inamlinda mfanyakazi katika nchi yako?
Sikiliza kipindi chetu kipya tukiongelea Kuhusu Ajila / Kazi /na system nzima ya nchi uliopo.
Ukichasikiliza drop comment kuhusu maoni yako
Swahili Talk Radio Podcats.