Preview Mode Links will not work in preview mode

Swahili Talk Radio Podcast


Oct 26, 2018

Wema Sepeto kawa ongezi kubwa mtandaoni kuliko mambo mengi muhimu kwa kipindi cha muda wa wiki nzima. 

Wapendwa watanzani kweli hili jambo nilakuongea wiki nzima?

Au nikukosa kujua kitugani ni muhimu kwetu?

au ni uelevu mdogo wa jamii yetu?

Kwanini tusiongelee maendeleo ya nchi yetu..???

bonyeza link hapo juu kutusikia Swahili talk Radio Podcast ujue tulicho changia kwenye hii hoja. 

By Rehema Nkalami.