Preview Mode Links will not work in preview mode

Swahili Talk Radio Podcast


Nov 16, 2018

Utalii wandani ya nchi umekuwa siku zote ukipewa kipaombele na wageni kwanini ?

Je kwasababu nchi zetu utalii haziufahamishi vizuri ndani ya nchi?

mimi nimmoja wapo ambae nimesoma secondary ya Hegongo karibu na Magoroto forest na hamna hata siku moja kwenye kumbukumbu yangu shule kama shule imafanya ziara ya kutembelea msitu huu. amba wazungu walikua wakitoka mbali kuja kuoma asiliamali hi ya Tanzania ... bonjeza link hapo juu usikilize na uijue Magoroto Forest.